Maneno ya Makamba baada ya kutenguliwa Uwaziri January Makamba Kufuatia kutenguliwa nafasi ya kuwa Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, aliyekuwa Waziri wa wizara hiyo, January Makamba ametoa kauli yake. Read more about Maneno ya Makamba baada ya kutenguliwa Uwaziri