Fahamu kilichokwamisha kesi ya Shamimu na mumewe

Shamim Mwasha na Mumewe Abdul Nsembo

Kesi ya uhujumu Uchumi namba 36 ya mwaka 2019,  inayomkabili, Shamim Mwasha (41) na Mumewe Abdul Nsembo maarufu kama Abdulkandida (45), leo Julai 22, imeshindwa kuendelea kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kwa kile kiilichoelezwa kwamba upelelezi bado haujakamilika.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS