Waziri Mkuu atoa agizo kwa uongozi wa Mkoa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameutaka uongozi wa Mkoa wa Ruvuma kutangaza fursa za uwekezaji zilizopo mkoani humo pamoja na kuondoa vikwazo vyote, ili kuvutia wawekezaji zaidi. Read more about Waziri Mkuu atoa agizo kwa uongozi wa Mkoa