Kanye West amuomba msamaha Jay Z Kanye West na Jay Z Mashabiki wa muziki wa Kanye west wamehoji kwanini amemuomba msamaha rapa mwenzake Jay Z, kwenye ngoma yake mpya ya "brothers" ambayo amemshirikisha Charlie Wilson. Read more about Kanye West amuomba msamaha Jay Z