"Nitakuwa Mhubiri Injili wa Kimataifa" - RPC Shana
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Jonathan Shana ameeleza kazi anayotarajia kuifanya baada ya kustaafu kazi ya upolisi, ni kuwa anatamani kuwa mchungaji wa kuhubiri injili na si kuingia kwenye siasa.