''Unatekwa unapelekwa karibu na shangazi''?
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam SACP Lazaro Mambosasa, amesema Jeshi la polisi nchini kwa kushirikiana na watu wa Interpol nchini Kenya, linaendelea kufanya uchunguzi ili kubaini ni namna gani Raphael Ongangi alitekwa na kufikishwa Mambosasa.