Amuuwa mwenzake akimtuhumu kuiba panga tangu 2018
Jeshi la Polisi Wilaya ya Lindi linamshikilia kwa mahojiano mkazi waa Kijiji cha Rondo Ntene, Aisha Mshamu (65) kwa tuhuma za kumuuwa mwananchi mwenzake aitwae Zainabu Mikumbi (80) kwa madai alikuwa akimtuhumu kwa wizi wa panga lililopotea 2018.