Wazee wa CHADEMA watuma maombi kwa Rais Magufuli Mwenyekiti wa baraza la wazee CHADEMA Hashim Juma Issa. Baraza la Wazee (CHADEMA), kupitia kwa Mwenyekiti wake, Mwenyekiti wa baraza hilo, Hashim Juma Issa limeweka wazi kuwa Tume huru ya uchaguzi inahitajika kwenye chaguzi zijazo. Read more about Wazee wa CHADEMA watuma maombi kwa Rais Magufuli