''Maneno ya mwanadamu ni sumu'' - Magufuli
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, amehakikisha kuwa, Tanzania na Kenya zitaendelea kuwa nchi zenye kudumisha undugu, na kamwe kutoruhusu maneno yoyote yenye kuleta ulaghai na mgawanyiko.