Namthamini kuongeza ufaulu kwa wanafunzi Kampeni ya Namthamini ya East Africa Television na East Africa Radio, imeendelea kuhakikisha wasichana wote shuleni wanasoma vizuri wakiwa wanapata taulo za kike. Read more about Namthamini kuongeza ufaulu kwa wanafunzi