Messi awaumbua waandaaji wa Copa America

Lionel Messi akipewa kadi nyekundu kwenye mchezo dhidi ya Chile

Nahodha wa timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi hakumaliza mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu usiku wa jana dhidi ya Chile, baada ya kutolewa kwa kadi nyekundu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS