Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, wakati wa ufunguzi wa safari za majaribio katika reli ya kisasa
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe amezindua Safari ya kwanza ya majaribio ya treni ya Wahandisi kwenye eneo la Soga lililopo Kibaha Mkoani Pwani.