Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla na Waziri wa Mazingira, mhe. January Makamba
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla, amemuomba msamaha Waziri wa Mazingira, Mhe. Januari Makamba baada ya mvutano waliokuwa nao katika mtandao wa kijamii wa Twitter.