Shamim Mwasha na mumewe warudishwa rumande Shamim Mwasha na mumewe Abdul Nsembo Kesi ya uhujumu Uchumi namba 36 ya mwaka 2019, inayomkabili, Shamim Mwasha (41) na Mumewe Abdul Nsembo maarufu kama Abdulkandida (45), leo Julai 8 imepigwa kalenda hadi Julai 22. Read more about Shamim Mwasha na mumewe warudishwa rumande