Mahindi, Samaki wabichi na Mtama, vyatajwa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema mfumuko wa bei wa Taifa Kwa mwaka ulioishia mwezi juni, umeongezeka hadi asilimia 3.7 kutoka asilimia 3.5 kwa mwaka ulioishia mwezi Mei, 2019. Read more about Mahindi, Samaki wabichi na Mtama, vyatajwa