Afisa Elimu Arusha aeleza matunda ya Namthamini Afisa Elimu Taaluma Sekondari mkoa wa Arusha Kabesi Kabeja, amepokea kwa furaha msaada wa taulo za kike kwa wanafunzi wa kike katika shule za Sekondari Muriet na Kinana. Read more about Afisa Elimu Arusha aeleza matunda ya Namthamini