Lindi: Amuua rafiki yake kisa mapenzi
Kijana Fadhili Abdallah Mkunguja {23} mkazi wa Kijiji cha Ruchemi, Kata na Tarafa ya Milola, Mkoa wa Lindi, amefariki dunia baada ya kushambuliwa kwa kukatwa shingoni na kitu chenye ncha kali na mwenzake aitwae Issa Khalifa Mtumwa (20) katika ugomvi uliotokana na wivu wa kimapenzi.