Waziri atoa maagizo mawili kwa IGP Sirro
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhandisi Hamad Masauni, amemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, kuhakikisha ulinzi unaongezwa katika jengo jipya (Terminal 3) la uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere.