Mo Salah aingia kwa siri Afrika Mashariki Mohamed Salah Staa wa Liverpool na timu ya taifa ya Misri, Mohamed Salah ametembelea nchini Kenya Jumanne, ambapo alitembelea katika maeneo ambayo hayakuweza kufahamika. Read more about Mo Salah aingia kwa siri Afrika Mashariki