Mwalimu mwenye mamlaka ya kumchapa mwanafunzi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia elimu Tixon Nzunda, ameagiza walimu waachane na matumizi ya viboko shuleni kwani viboko hujenga hofu na uwoga kwa wanafunzi. Read more about Mwalimu mwenye mamlaka ya kumchapa mwanafunzi