"TFF nao wawajibike" - Mwakyembe Dkt. Harrison Mwakyembe Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe ametoa rai yake kufuatia uamuzi wa Shirikisho la Soka nchini TFF kumtimua kocha Emmanuel Amunike. Read more about "TFF nao wawajibike" - Mwakyembe