Kinachomfanya Bella akate simu ya shabiki Christian Bella Mwimbaji Christian Bella, amefunguka kuwa simu kwenye maisha yake ni kitu cha muhimu sana na haijalishi inatoka kwa mtu anayemjua au asiyemjua, cha muhimu ni yeye kujua ina ujumbe gani. Read more about Kinachomfanya Bella akate simu ya shabiki