Alichosema Steve Nyerere kuhusu sanamu ya Nyerere
Muigizaji wa Filamu hapa nchini Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere, ameona fahari kufananishwa na Sanamu ya Nyerere, aliyokabidhiwa Rais Magufuli wakati wa uzinduzi wa Hifadhi ya Taifa ya Burigi Julai 9, 2019, Chato Mkoani Geita.