Shilole azua jipya, awataja Uwoya na Wema Shilole na mumewe Uchebe. Msanii wa muziki, muigizaji na mjariamali Shilole, amesema anatamani kuwaona mastaa kama Irine Uwoya na Wema Sepetu wakiingia kwenye ndoa. Read more about Shilole azua jipya, awataja Uwoya na Wema