Patrick Aussems atoa neno program ya Simba Kocha mkuu wa Simba Patrick Aussems, ameweka wazi kuwa yupo njiani kuripoti kazini kwaajili ya kuanza kambi rasmi ya maandalizi ya msimu ujao. Read more about Patrick Aussems atoa neno program ya Simba