Maisha Supermarket wathibitisha kifo cha Mahad Nur
Baada ya taarifa kueleza kuwa katika shambulio la kigaidi linalodhaniwa kuua watu 26 huko Kismayu Somalia, na miongoni mwa hao kuna mfanyabiashara Mahad Nur Gurguurte ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Maisha Supermarket, uongozi umethibitisha.