Etienne Ndayiragije awatisha wababe wa Simba
Kocha Mkuu wa klabu ya Azam FC, Mrundi Etienne Ndayiragije amewazungumzia wababe wa Simba katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika, TP Mazembe kuelekea mchezo wa robo fainali ya michuano ya Kagame inayoendelea nchini Rwanda.