Afisa Mtendaji mkuu wa klabu ya Simba Crescentius Magori na msemaji Haji Manara.
Afisa Mtendaji mkuu wa klabu ya Simba Crescentius Magori, amesema klabu ya Simba ilikuwa na uwezo wa kuunda kamati ya maadili kwasasa lakini ingeonekana inamuundia mzee Kilomoni.