Kupatwa kwa mwezi 16 - 17 Julai Kupatwa kwa mwezi Mamlaka ya hali ya hewa nchini TMA, imesema usiku wa Julai 16 - 17, kutatokea hali ya kupatwa kwa mwezi, ambapo tukio hilo hujirudia mara chache sana katika maeneo husika. Read more about Kupatwa kwa mwezi 16 - 17 Julai