BASATA yatoa msimamo wake kuhusu Uwoya na Steve

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), limekana kuwatambua wasanii wa Filamu nchini Irene Uwoya na Steve Nyerere, kutokana na kwamba wasanii hao hawajasajiliwa licha ya wao kuwepo kwenye sanaa kwa muda mrefu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS