Makonda afanya uzinduzi leo
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda, leo Julai 17, amezindua soko la kimataifa la Madini na Vito, ikiwa ni utekelezaji wa agizo alilotoa Rais Dkt John Pombe Magufuli la kutaka kila Mkoa hapa nchini, kuwa na soko la madini.