TCU yafuta Chuo Kikuu Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imekifuta Chuo Kikuu cha Eckernforde cha mkoani Tanga kutokana na chuo hicho kushindwa kukidhi vigezo vya udahili. Read more about TCU yafuta Chuo Kikuu