Nape atoa neno kuhusu alipo na anachofanya kwasasa Mbunge wa Mtama Nape Nnauye (Kulia). Mbunge wa jimbo la Mtama mkoani Lindi, Mh Nape Nnauye, amefunguka kuwa yupo jimboni kwake anaendelea na shughuli za maendeleo. Read more about Nape atoa neno kuhusu alipo na anachofanya kwasasa