Petrol na Dizel yaporomoka kwa mwezi Agosti Mamlaka ya Udhibiti na Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imesema bei za jumla na rejareja kwa mafuta ya petrol, dizeli na mafuta ya taa yaliyoingizwa kupitia bandari ya Mtwara yamepungua. Read more about Petrol na Dizel yaporomoka kwa mwezi Agosti