Tunda afunguka uhusiano wake na Whozu
Tunda afunguka usiyoyajua kuhusu uhusiano
Video vixen wa muziki wa BongoFleva Tunda, amefunguka kuhusu uhusiano wake wa kimapenzi na msanii wa muziki na mchekeshaji Whozu, kwa kusema kuwa walikuwa wanafahamiana tangu shule ya msingi, pia nyumbani kwao ni majirani.