Dkt. Bashiru atoa tamko na onyo kwa wana CCM
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dkt. Bashiru Ally amesema wana CCM watakaofanya marumbano ya rejareja yanayoendelea hivi sasa, hawatasita kuwachukulia hatua mara moja na kwamba waige mfano wa kukaa kimya kama afanyavyo kiongozi wao.