Waziri wa afya ajiuzulu kisa Ebola
Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Oly Illunga, amejiuzulu kwenye nafasi yake ya Uwaziri, ambapo ameeleza sababu ya kufanya hivyo ni kutoridhishwa na namna mlipuko wa ugonjwa wa Ebola, unavyoshughulikiwa nchini humo.