Mtoto wa miaka 8 mbaroni kwa mauaji

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro Wilbroad Mutafungwa, amethibitisha kumkamata mtuhumiwa wa mauaji ya mtoto Greyson Valentino, mwenye umri wa mwaka mmoja na kisha mwili wake kuutelekeza shambani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS