Rais Magufuli aomba kupongezwa kwa hili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amepokea masanduku mawili ya dhahabu yenye uzito wa kilo 35.34, pamoja na fedha, yakitokea Kenya kufuatia kukamatwa na vyombo vya ulinzi vya nchi hiyo.