Rais Kenyatta amfukuza kazi Waziri wa Fedha
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amemfukuza kazi aliyekuwa Waziri wa Fedha, Henry Rotich ikiwa ni siku moja tu baada ya Rotich, kupandishwa kizimbani kwa tuhuma za ufisadi, ambapo Waziri wa Kazi, Ukur Yattani ameteuliwa kukaimu nafasi hiyo.