Msanii atangaza kuwania Urais uchaguzi ujao Mbunge wa Kyadondo Mashariki nchini Uganda, Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) ametangaza kuwania Urais wa Taifa la Uganda, kwenye Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo unaotarajiwa kufanyika 2021. Read more about Msanii atangaza kuwania Urais uchaguzi ujao