Bata za Tunda zamponza rafiki yake Tunda Mkali wa Rap bongo, Moni Centrozone amempiga marufuku mpenzi wake Nai kuwa karibu na mwanadada maarufu mtandaoni, Tunda ikiwemo kuhudhuria sherehe zake na sehemu za starehe. Read more about Bata za Tunda zamponza rafiki yake