Kocha wa Simba ataka mabadiliko ya lazima Patrick Aussems Kuelekea msimu wa soka wa 2019/20, Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems, amesema wachezaji wake wanatakiwa kuwa na uwezo wa kucheza zaidi ya nafasi moja uwanjani. Read more about Kocha wa Simba ataka mabadiliko ya lazima