Watakaotingisha kiberiti kuchukuliwa hatua Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini David Misime Jeshi la Polisi nchini limewatahadharisha wale wote watakaoleta vurugu wakati wa uchaguzi wa Serikali za mitaa watachukuliwa hatua mara moja. Read more about Watakaotingisha kiberiti kuchukuliwa hatua