Ndoto iliyotimia kiaina kwa Samatta Mbwana Samatta Nahodha wa Taifa Stars na mshambuliaji wa klabu ya KRC Genk, Mbwana Samatta amefanikiwa kutimiza moja ya ndoto kubwa aliyokuwa akiitamani katika maisha yake ya soka. Read more about Ndoto iliyotimia kiaina kwa Samatta