Aliyechomwa moto na mumewe kufanyiwa uchunguzi
Mabaki ya mwili wa Naomi Marijani anayedaiwa kuuwawa na mume wake, kisha mwili wake kuchomwa moto na mabaki kufukiwa shambani, yamefikishwa kwenye Ofisi ya Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwa lengo la kufanyia uchunguzi wa sampuli za mabaki hayo.