Miili mitatu ajali ya Lori yashindwa kutambulika
Miili ya marehemu watano waliofariki kwenye ajali ya lori la Dangote lililogongana na gari ndogo kisha kuwaka moto, imehamishiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwaajili ya kuhifadhiwa na uchunguzi zaidi baada ya baadhi kushindwa kutambulika.

