Ajali ya Lori yaua zaidi ya watu 50 Morogoro Sehemu ya athari za ajali hiyo Watu wanaokadiriwa kufika au zaidi ya 50 wamepoteza maisha baada ya kuungua na moto kufuatia Lori la mafuta kulipuka eneo la Msamvu mjini Morogoro. Read more about Ajali ya Lori yaua zaidi ya watu 50 Morogoro