Waliosambaza picha za watuhumiwa kushtakiwa

Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu LHRC Anna Henga

Mtandao wa kupinga Ukatili wa Kijinsia (MKUKI) umesikitishwa na vitendo vya kusambazwa kwa picha zinazoonesha wanawake wanne, katika mitandao ya kijamii waliokuwa wakituhumiwa na kushikiliwa katika kituo cha polisi cha Mburahati Jijini Dar Es Salaama kwa makosa ya jinai.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS