Mara: Wafungwa miaka 20 kisa nyama ya Pundamilia Mnyama Pundamilia Mahakama ya Hakimu mkazi mfawidhi wilaya ya Serengeti Mkoani Mara, leo Julai 26, 2019, imewahukumu miaka 20 jela kila mmoja washtakiwa wanne kwa kosa la uhujumu uchumi. Read more about Mara: Wafungwa miaka 20 kisa nyama ya Pundamilia